Hali ya wahamiaji na wananchi was Lesvos niyakusikitisha.Wenyeji wa Ugiriki wanaomiliki shirika lisilokuwa la kiserikali la Stand by me Lesvos(SBML) wamejitokeza katika maandamano kulalamikia hali hiyo. SBML ni shule inayotoa elimu ya bure kwa mamia ya watoto na akina mama.Kulingana na hali inavyoendelea kudhorora, shule pia itaenda kwa mgomo baridi kulalamikia hali hiyo.
Please contact us if you require any further information, we will be available for questions at any time:
Mixalis Avaliotis. +30-6932873200
Ana Hickey: +44-7980578342
Mytillini February 4th, 2020
Share: [Sassy_Social_Share]